Lady Jaydee haogopi kufa na infact anataka mazishi yake yawe na mwaliko kama vile harusi zilivyo.
page
Katika muendelezo wa post zake ‘controversial’ Lady Jaydee ameweka picha za majeneza mawili ya kifahari ambayo anapenda akifa azikwe.
11084796_1613949208837446_1981732043_n
Hata hivyo ana masharti – mazishi yatakuwa ya mialiko maalum na hatopenda mwili wake ufunuliwe.
 
“I’ve changed my mind Sitaki tena lile la purple Moja kati ya hayo hapo juu #MsiMind #KilaMtuAtakufa #Msiogope Nilikuwa nafikiria pia iwe invitees only #SitakiKufunuliwa,” ameandika Lady Jaydee
  • Like Our facebook Page , Follow us on Twitter and Comment on all our posts.
  • Hashtag #pekuatz to share your story with us.
  • Send your post via Whatsapp 0769338868
  • Brouwse More Posts and Bookmark Our Website for Updates.

Comments