DIANA

Na Hamida MlimaMsanii wa bongo movie Diana Kimaria ameibuka na kukanusha vikali kuwa kamwe hawezi kuliwa uloda na mwanaume aliyempitia rafiki yake Lulu Michael kwa sababu kwani wao ni zaidi ya rafiki.

clip_image002LULU

Akizungumza na gazeti namba moja nchi kwa habari zaa uchunguzi la Maskani Bongo  baada ya kutokea taarifa kuwa amekuwa akiiba wanaume za rafiki zake akiweo huyo Lulu, Diana alisema "Katu siwezi kufanya hivyo hivyo mwanaume yeyote anaemla uloda LULU mimi ni shemji yangu hivyo siwezi fanya upuuzi huo" Alisema Diana ambae amewahi kuishi kinyumba na msanii fuska Manaiki Sanga zaidi ya nusu mwaka huku Mama yake na Diana akitoa baraka za wawili hao kuoana kabisa

Comments