Muimbaji wa Kenya, Phyllis Mwihaki aka Phy ndio mshindi wa shindano la Maisha Superstar.

11219073_619733254830278_3742229413503061601_nPhy akikabidishwa cheque yake baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la Maisha Superstar

11051219_619734001496870_1335539061067534458_nPhy na mentor wake Rabbit

Phy alikuwa akisimamiwa (mentor) na rapper Rabbit wa Kenya.

Kwenye fainali ya shindano hilo, rookies wengi waliotumbuiza kuwania ushindi ni Spirit Soul, Damian Soul na Fi-lah pamoja na mentors wao wakiwemo AY na Jose Chameleone.

11201199_619750814828522_4168073266379140103_n

Phy amejishindia shilingi milioni 1.2 za Kenya ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 21 za Tanzania.

11188485_619750791495191_9205027757907253146_nAY na Damian Soul

11188197_619750844828519_7402487058939957444_nMyler na Shaa

11205997_619750914828512_7410529200936610950_n

11204420_619750848161852_3599474325177684365_n

 

.

  • Like Our facebook Page , Follow us on Twitter and Comment on all our posts.
  • Hashtag #pekuatz to share your story with us.
  • Send your post via Whatsapp 0769338868
  • Browse More Posts and Bookmark Our Website for Updates.

Comments