Hemedy PHD ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 27, amesema kuwa akifika umri wa miaka 30, mpango wake ni kuigeukia dini zaidi na kufanya shughuli kwa jamii ambazo zitakuwa zikimrejeshea thawabu na pia heshima kutoka kwa jamii.

Unamuunga mkono katika sababu yake hii? Hivi mtu kufanya shughuli za jamii na kupata heshima hadi uwe na umri mkubwa? tupe mtazamo wako hapa

Comments