Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya va 112(1) va Katiba va Jamhuri va Muungano wa Tanzania va mwaka 1977. Aidha, kwa mujibu wa Sheri a va Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011, Tume va Utumishi wa Mahakama mbali na kuwa na majukumu mengine inalo ju¬kumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama.
Hivyo, Tume va Utumishi wa Mahakama inawatangazia Wa-tanzania wenve sifa zilizoainishwa hapo chini kwa kila nafasi va kazi na ambao wako tavari kutanva kazi katika Ofisi za Mahakama va Tanzania ambazo ziko katika Mikoa na Wilava mbalimbali kuleta maombi vao va kazi. Nafasi hizo na sehemu zilipo ni kama ifuatavyo:-
 
 
DEREVA DARAJA II TGOS A - NAFASI 8
 
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma (1), Mahakama ya Wilaya Mkuranga (1), Bariadi (1), Dodoma (1), Shin-
yanga (1), Kishapu(l), Same(l), Mpanda (1).
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV, Wenye Leseni
daraja la "C' ya uendeshaji pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali, wenye
Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II.
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuendesha magari ya abiria, na malori,
ii. Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali nzuri wakati wote, na kufanya uchunguzi wa gari kabla na baada ya safari iii kugundua ubovu unaohitaji matengenezo,
Mwisho wa kupokea barua za maombi hayo ni tarehe 29 Machi, 2014 saa 9:30 Alasiri.
 
 
MLINZI TGOS A - NAFASI 53
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa (3), Mahakama ya
Hakimu Mkazi Njombe(2), Shinyanga(l), Mahakama ya Wilaya UI¬anga (2), Kilombero (2), Kilosa (2), Mvomero (2), Morogoro(2), Kishapu (1), Kahama (1), Ludewa (1), Makete (1), Bagamoyo (3), Mahakama ya Wilaya Mkuranga(l), Kisarawe (1), Newala (1), Geita (1), Same (2), Dodoma (2), Mpwapwa (2), Kongwa (2), Manyoni (2), Hai (2), Rombo (2), Moshi (2), Mpanda (2), Mtwara (2), Lindi (1), Nachingwea (1), Tandahimba (1), Kilwa (l),KinOndoni (2).
9.Barua za maombi ziandikwe kwa mkono wa mwombaji na kua-
mbatisha:-
Vivuli vya vyeti vyote vya elimu na mafunzo.
Ufupisho wa taarifa za mwombaji (01). Kivuli cha cheti cha kuzaliwa.
Picha mbili (Passport size) zilizopigwa hivi karibuni.
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofuzu mafunzo ya
mgambo/polisi/ JKT au Mafunzo ya Zimamoto kutoka katika chuo
kinachotambuliwa na Serikali.
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuhakikisha kwamba mali yoyote ya ofisi inayotolewa langoni
(nje ya ofisi) ina hati ya idhini na uhalali wake.
ii. Kulinda usa lama wa majengo, ofisi na mali za ofisi mchana na usiku.
 
MSAIDIZI WA OFISI TGOS A - NAFASI 44
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufaa (4), Mahakama Kuu - Kande ya Dodoma (2), Tanga (1), Mwanza (1) , Tabora (1), Dar es salaam(4), Mtwara (2), Mbeya (1). Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga (1), Shinyanga (1), Mahakama ya Wilaya Lushoto (1), Muheza (1), Pangani (1), Tanga (1), Handeni(l), Kilindi (1), Bagamoyo (2), Kigpma (2), Kahama (2), Kishapu (2), Dodoma (1), Mpwapwa (1), Kongwa (2), Manyoni (1), Moshi (1), Mwanga (2), Mpanda (1), Babati (1), Mbulu (1), Mbarali(l).
 
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliofaulu vizuri katika ma¬somo ya Kiingereza, Kiswahili na Hisabati.
 
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kufanya usafi wa ofisi na mazingira ya nje na ndani ikiwa ni pamoja na kufagia, kufuta vumbi, kupiga deki, kukata majani, kupalilia bustani, kumwagilia maji bustani, kupanda maua namiti na kusafisha vyoo.
ii. Kuchukua na kupeleka majalada na hati nyingine kwa maofisa
wanaohusika na kuyarudisha sehemu zinazohusika. iii. Kutayarisha chai ya ofisi
 
MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II TGS B - NAFASI 37
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha (1), Dodoma(l),Mahakama ya Wilaya Rufiji (1), Mafia (1), Bagamoyo (2), Mkuranga (l),Kibaha (1), Kisarawe (1), Tanga(l), Handeni (1),
Korogwe (1), Muheza (1), Shinyanga (1), Kishapu (1), Shin¬yanga (1), Manyoni (3), Moshi (1), Rombo (1), Hai (1), Same (1), Mwanga (1), Mpanda(2), Babati (2), Mbulu (1), Hanang/ Kateshi (2), Chunya (1), Kigoma (1), Geita (1), Bukoba (1), Mwanza (1), Mtwara (1).
 
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne au sita wenye cheti cha utun¬zaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani za Afya, Masjala, Ma¬hakama na Ardhi.
 
(b) Kazi za kufanya:
i. Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wa¬somaji.
ii. Kudhibiti upokeaji, uandikishaji wa kurnbukurnbu/nvaraka
iii. Kuweka/kupanga kumbukumbu/nyaraka Katia reki (file racks/ cabinets) katika masjala/vyurnba vya kuhifadhia kumbukum¬bu.
 
 
 
KATIBU MAHSUSI DARAJA III - TGS. B - NAFASI 11
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Mahakama ya Rufani (1), Mahakama Kuu - Kanda ya Dar es salaam (1), Mwanza(l), Mahakama
ya Hakimu Mkazi Shinyanga (1), Mahakama ya Wilaya I1ala
(1), Rufiji (1), Mkuranga (1) Iringa (1), Kigoma(l), Kasulu (1), Kishapu (1).
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV waliohudhuria Mafunzo ya Uhazili na kufaulu mtihani wa Uhazili Hatua ya Tatu.
Wawe wamefaulu somo la Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza (Shorthand) maneno 80 kwa dakika moja na wawe wamepata ma¬funzo ya Kompyuta kutoka chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali na kupata cheti katika programu za Windows, Microsoft Office, Internet, E-mail na Publisher.
 
(b) Kazi za kufanya.
Katibu Mahsusi Daraja la III atapangiwa kufanya kazi katika Typ¬ing pool au chini ya Katibu Mahsusi mwingine mwenye cheo cha juu kumzidi kwenye ofisi ya Mkuu wa sehemu au kitengo.
i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii. Kusaidia kupokea wageni na kuwasaili shida zao, na kuwaele¬keza sehemu wanazoweza kushughulikiwa.
iii. Kusaidia kutunza taarifa, kumbukumbu za matukio, miadi, wageni, tarehe za vikao safari za Mkuu wake na ratiba ya kazi zingine zilizopangwa kutekelezwa katika ofisi anamo¬fanyia kazi, na kumuarifu Mkuu wake kwa wakati unaohitajika.
 
 
AFISA UGAVI DARAJA II - TGS 0 - NAFASI 1
Nafasi hii ni kwa ajili va Mahakama Kuu Iringa
(a) Sifa za kuingilia:
Kuajiriwa wenve shahada va biashara (B.Comm) venye mchepuo wa ugavi au Stashahada va Juu ya Ugavi (Advanced Diploma in Materials Management) lnayotolewa na Chuo kinachotambuliwa na Bodi va Taifa va Usimamizi va Vifaa waliosajiliwa.
 
(b) Kazi za kufanya:-
i. kukusanva takwimu za kusaidia kutavarlshwa makisio va vifaa vinavyohitajika (Material Requirement Budget) na Mpango wa Ununuzi (Procurement Plan).
ii. Kukusanya na kutunza takwimu za utendaji za Wazabuni mbalimbali, upokeaji, utunzaji, na usambazaj wa vifaa.
iii. Kusimamia utunzaji wa maghala na hati/ kumbukumbu va vi¬faa vilivyomo ghalani na Kusimamia upokeaji, utunzaji na us-ambazaji wa vifaa. 
 
 
MSAIDIZI WA SHERIA WA JAJI DARAJA II TJS 2- NAFASI 1
Nafasi hii ni kwa ajili va Mahakama Kuu Tabora
(a) Sifa za Kuingilia
Waombaji wawe na shahada va kwanza ya shena "Bachelor of Laws" (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika na Serikali pamoja na cheti cha mafunzo ya Sheria kwa vitendo (Law school Certificate) .
 
(b) Kazi za kufanya:-
Atapangiwa kutanva kazi chini va Jaji wa Mahakama Kuu na ku-tanya kazi zifuatazo:-
i. kutanva utafiti wa kisheria pamoja na utafiti wa kesi za awali
na rufaa. .
ii. Kuingia Mahakamani, kurekodi mwenendo mzlrna wa kesi na kuweka kumbukumbu sahihi za mashauri vanavosikiiizwa na Jaji.
iii. Kazi nvinqine vevote atakavopangiwa na Jaji ama Mamlaka zinazohusika.
 
HAKIMU MKAZI II - TJS 2 - NAFASI 51
Nafasi hizi ni kwa ajili va Mahakama za Mwanzo mbalimbali Tanzania bara.
(a) Sifa za kuingilia:
Waombaji wawe na shahada va kwanza va sherta "Bachelor of Laws" (LLB) kutoka katika Chuo kikuu kunachotambulika na Serikali pamoja na cheti cha mafunzo va Sheria kwa vitendo
(Law school Certificate).
(b) Kazi za kufanya:-
i. Kuandaa mpango wa kusikiliza na kutoa hukumu za mashauri va Jinai, Madai, Mirathi na ndoa.
ii. Kutoa amri mbalimbali za kimahakama, Kusuluhisha mashauri pamoja na Kusikiliza rufani kutoka Mabaraza ya Kata.
 
APPLICATION INSTRUCTIONS:
 
Aidha, inasisitizwa kwamba, waombaji toka maeneo yenye nafasi husika na wenye sifa zilizoainishwa katika tangazo hili, watafikiriwa kwanza. Hivyo, maombi vote yapitishwe kwa
Makatibu Tawala wa wilaya anayoishi mwombaji.
Pia, kwa waombaji walio katika utumishi wa Umma wanapaswa kupitisha maombi yao kwa waajiri wao na kwa waombaji ambao waliacha kazi katika utumishi wa Umma wabainishe kwamba walia-
cha kazi Serikalini.
 
Maombi vote yatumwe kwa njia ya posta kwa
Katibu,
Tume ya Utumishi wa Mahakama ya Tanzania,
S.L.P. 8391 ,
DAR ES SALAAM.
Tags: 

Comments